Monday, October 10, 2011

BASI LA NG'ITU LAPATA AJALI


Basi la Ng'itu linalofanya safari zake za kutoka Dar kwenda mikoa ya kusini ya Lindi na Mtwara limepata ajali maeneo ya Miteja mkoa wa Lindi siku ya jumapili/jana chanzo cha ajali bado hakijajulikana.

KUNRADHI
Ilipostiwa kwamba basi la Southern ndilo lililopata ajali siku ya jumapili. Ukweli ni kwamba basi la Ng'itu ndilo lililopata ajali sio la Southern. Kunradhi kampuni ya mabasi ya Southern.

No comments: