Friday, August 26, 2011

NENO LA LEO
Kama siasa itachukua nafasi ya taaluma mtaendelea kujenga miundombinu na wafanyabiashara wasiitumie kamwe. Unawezaje kuhitaji LESO ukiwa Samora Avenue halafu ikulazimu kuifuata Machinga Complex?

Akili zinazotumika kufanya mipango miji nashindwa kuzitofautisha na za J U H A anayekopa mamilioni ya shillingi kufungua DUKA LA SPEA ZA MELI SINGIDA


IMETOLEWA KWENYE MAONI YA GAZETI LA MWANANCHI

No comments: