Monday, August 29, 2011

MTU CHAKE APENDACHO2 comments:

emu-three said...

Mhhh, jamani dunia kuna mambo, huyu mdudu analiwa?

Masangu Matondo Nzuzullima (MMN) said...

Hii nimeipenda. Binadamu tunayo tabia ya kubeza tamaduni za wengine utadhani kwamba tamaduni zetu zote ni safi. Ni mantiki hii hii kengeufu iliyowafanya wazungu wakaita tamaduni zetu kuwa za kishenzi.

Tangu nilipoenda China na kukuta nyoka, kobe, minyoo na kila aina ya wanyama wakiuzwa sokoni kama kitoweo basi niligundua kwamba karibu kila mnyama hapa duniani analiwa isipokuwa wale wenye sumu kali. Ndiyo maana kule Kongo nyani wanakaribia kwisha...

Dumisheni utamaduni wenu watu wa Kusini na siku nikibahatika kuzungukia huko hawa samaki nchanga watanikoma!