Wednesday, August 10, 2011

HALI HALISI KATIKA SHULE ZA BWENI ZA SERIKALIHii ni picha ya Ndani ya bweni katika shule ya Sekondari ya Mwaru iliyopo Singida vijijini kweli mwanafunzi kwa hali hii anaweza kuwa Msomi wa kutegemewa na taifa letu na kuwa mwanasayansi tegemeo la nchi yetu tunaomba serikali iwasaidie wanafunzi hawa kwakweli wanaweza kufauli kati ya hawa wa shule za serikali na wale wanaosoma shule St au Private. Mungu ibariki Tanzania.


PICHA: GLOBAL PUBLISHERS


No comments: