Saturday, June 11, 2011

FERRE GOLA VS FALLY IPUPANani Zaidi ? (Amua mwenyewe)


2 comments:

SIMON KITURURU said...

Mshindi PAPA WEMBA ambaye alimuweka kibarazani KOFI Olomide aliyefanya kuna wajaribuo kushindanisha hawa madogo.

Ila kwa amshindanishaye kuna kitu husahau labda kwa kuwa BOB MARLEY na PETER TOSH waiingiliavyo miziki ni kitofauti na ndio maana ukishindanisha hakuna mshindi kwa kuwa KISANAA siamini unaweza kushindanisha wasanii wawili!


``Katika BOB MARLEy na PETER TOSH chomeka majina ya wasanii walioko kwenye kichwa cha habari instedi!:-(

Baraka Mfunguo said...

Teh teh teh teh! Mkuu unanikosha sana na misemo yako ambayo humfanya mtu kufikiri sana. Ni kweli kabisa kaka