Thursday, April 14, 2011

OOOPS PAPARAZZI!Teh teh teh teh ! Jasiri haachi asili. Bado kuna watu wengine hata bongo wakienda hoteli kubwa kazi yao ni kuiba mataulo, shampoo na sabuni za spa au wakiwa kwenye ndege za mashirika makubwa wakati wa safari za ughaibuni.

No comments: