Thursday, March 10, 2011

USANII MWINGINE

Pikipiki ya matairi matatu kwa ajili ya kuokoa maisha ya mama wajawazito pamoja na watoto ikizinduliwa kwa ajili ya kupelekwa kwenye vituo mbalimbali vya afya . Swali litakaloulizwa na wengi. Je, pikipiki hizi zitamudu hali zote za mazingira huku zikiwa zimebeba wagonjwa chukulia mvua. Zitamudu hali yetu ya barabara? Zitatumika kama ilivyokusudiwa ? Ni salama ? Tuachane na kusema kwa sababu nchi fulani imetumia na sisi ndio tutumie. Na swali la mwisho huu ni mradi wa nani?

No comments: