Thursday, March 3, 2011

AJALI YA BASI YATOKEA


Kumekuwa na taarifa ya ajali ya basi kutokea na kuua abiria wapatao 7. Basi hilo lilikuwa likitokea Mtwara kwenda Dar . Haijatolewa taarifa rasmi ya idadi ya majeruhi. Ajali imetokea jana

No comments: