Friday, February 4, 2011

UDSM KWAFUKUTA MOTOVijana wameshakutana "Revolution square" na wamesema mpaka kieleweke moja ya madai yao ni nyongeza ya malipo ya posho za kujikimu pamoja na kero mbalimbali anazozipata mwanafunzi awapo chuoni. Kama kawaida wale jamaa wa Fanya Fujo Uone wapo karibu wakijaribu kunusa nusa hapa na pale wakati watu wenye akili zao wakidai haki zao.

No comments: