Thursday, February 10, 2011

SIKILIZA WIMBO WA "MAMBO BADO" WA BABU KAJU NA BUSHMENBendi ya Muziki ya Bushmen yenye makazi yake Marekani imeufanyia ukarabati wimbo wa Mambo Bado uliowahi kutamba miaka ile ya 80 mali yake mzee Makassy. Babu Kaju ameufanyia Sampling umekuja kisasa zaidi usikilize kwa kubofya hapa

No comments: