Thursday, February 10, 2011

MSIKILIZE NABII WA REGGAE

Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. Huyu mzee alikuwa nabii.Alama isiyofutika katika mapambano ya Ukombozi wa mtu mweusi, Amani, Upendo na maadili. Yote aliyawasilisha kupitia sanaa ya mziki wa Roots Reggae. Mimi binafsi ananikumbusha enzi zangu nikiwa sekondari wakati nikiwa mnazi na bado naendelea kuwa mnazi wake kwa sababu ameuteka moyo wangu kwa muziki wake. Rest In Eternal Peace Baba Kenyatta!

No comments: