Tuesday, February 15, 2011

MAMBO YA BABU KAJU UGHAIBUNI

HII NI TIMU YANGU YA WATOTO INAITWA FARASI NIMEANZA KUWAFUNDISHA MPIRA WAKIWA NA MIAKA TISA SASA HIVI WANA MIAKA 15 TOKA NIMEANZA KUWAFUNDISHA NIMESHINDA MAKOMBE MATANO PAMOJA NA UBINGWA WA STATE LA WASHINGTON MARA MOJA. TIMU YA WAVULANA AMBAYO INAITWA TEMBO IMESHINDA MAKOMBE MATATU NA UBINGWA WA STATE LA WASHINGTON MARA MOJA. KWA HIYO WATANZANIA WANAOTHANI MIMEACHA MPIRA BADO MPIRA UPO KWENYE DAMU . WATOTO WA TATU TOKA KWENYE TIMU YA FARASI WAMECHANGULIWA KU INGIA TIMU YA TAIFA YA WASICHANA WA MIAKA 17 USA NATIONAL TEAM. TIMU YA WASHICHANA NITAILEA TANZANIA MWAKA KESHO JUNI MWAKA 2012. OK PEOPLE ONE LOVE UNAWEZA KUANGALIA KWENYE WWW.KAJUMULOFC.ORG NA HIZO UNIFOM NI NGUO ZA KAJUMULO.

No comments: