Wednesday, February 16, 2011

MABOMU MABOMU MABOMU GONGOLAMBOTO


Hivi sasa ni kimbembe maeneo ya Gongolamboto, Chanika na maeneo ya jirani baada ya ghala la silaha la jeshi kupata moto na mabomu kuanza kulipuka. Hizi ni ishara tu kwa wanasiasa wababaishaji wasiojali maslahi ya wananchi pamoja na dhana ya kutumikia uma.

No comments: