Monday, February 7, 2011

BINTI WA MIAKA 3 ABAKWA KIMARA-STOP OVER

MIMI NI MKAZI WA KIMARA STOP OVER GARAGE- KUNA MTOTO WA MIAKA 3 ALIBAKWA HAPA MAENEO YA KIMARA GARAGE MBELE KIDOGO YA KIMARA STOP OVER,,,KWA KWELI MKASA WENYEWE UNASIKITISHA UWEZI AMINI KAMA WATU NA AKILI ZAO WANAWEZA KUFANYA KITENDO CHA KUSIKITISHA HIVI HASA JESHI LA POLISI,,,,STORY YENYEWE ILIANZA HIVI,,,MTOTO MDOGO KWA JINA TUNAMHUIFADHI ALIRUDI KWA MAMA YAKE MCHANA KWEUPE AKILALAMIKA MAUMIVU SEHEMU ZA SIRI.

MAMA YAKE BAADA YA KUMPEKUA AKAMKUTA AKIVUJA DAMU KIBAO ILIYOCHANGANYIKA NA MBEGU ZA KIUME,,HUKU SEHEMU ZAKE ZA SIRI ZIKIWA ZIMECHANIKA KABISAAAAA. MTOTO BAADA YA KUULIZWA NANI KAKUFANYA HIVI AKASEMA FULANI (JINA TUNAMUHIFADHI)KWA KWELI MAMA ALIPIGA UKUNGA MAJIRANI WAKAJAA PALE,,BAADA YA KUAMBIWA KILICHOTOKEA WATU WAKAKIMBILIA KWA MBAKAJI NA MAWE NA MATAIRI WAMCHOME MOTO.

JAMAA TAYARI ALIKUWA KASHATOROKA SAA NYINGI,,IKABIDI WATU WAMSAIDIE MAMA KUMBEBA MTOTO NA KUMKIMBIZA KITUO CHA POLISI CHA MBEZI KWA YUSUF(MBEZI LUIS) WAKAPATA PALE PF3 YA MATIBABU NA RB YA KUMKAMATA MBAKAJI NA KESI IKAFUNGULIWA PALE,. KWA KWELI ILIBIDI UFANYIKE MCHANGO KIDOGO KUMSAIDIA YULE MAMA MAANA ALIKUWA HANA MUME WALA UWEZO KAZI YAKE YEYE NI KUWACHOTEA MAJI MAJIRANI NA KUPATA VIJISENT ANAVYOJIKIMU YEYE NA MWANAWE,.

MTOTO AKAPELEKWA MWANANYAMALA AKALAZWA...JIONI SASA NDO IKAWA KIMBENDE MAANA YULE MVUTA BANGI AU MBAKAJI ALIRUDI NA KUANZA KUWATUKANA WATU KWAMBA HAWAWEZI KUMFANYA LOLOTE,, ALIKUWA ANATUMIA JEURI YA KAKA YAKE ANA PESA NA HATA MKIMUWEKA NDANI ATATOKA TU (KAKA YAKE ANAFANYA KAZI TBL).NA POLISI AKIENDA ATATOKA TU ATA KWA UCHAWI.

WATU WAKAPIGA SIMU POLISI DEFENDER YA POLISI IKAJA IKAMBEBA SAA 5 USIKU AKALALA KITUO CHA POLISI MBEZI KWA YUSUF,,ALILALA LITUONI SIKU MBILI BILA HATA KUPELEKWA MAHAKAMANI. ,KATIKATI YA HIZO SIKU 2 SIJUI NDO MPELELEZI WA KESI AU POLISI HATA HATUJUI (HAWAKUWA WAMEVAA UNIFORM)KUTOKA KITUO CHA POLISI MBEZI WALIENDA HOSPITAL YA MWANANYAMALA NA KUMLAZIMISHA DAKITARI ANAYESIMAMIA VIPIMO VYA UBAKAJI AWAPE FAILI WARUDI NALO KITUONI DAKTARI AKAKATAA KATA KATA KUWAPA,,(KISHERIA HAMNA DHAMANA KWA MBAKAJI NI MAGERZA TU).

CHA AJABU SIKU YA 3 KESI IKACHAKACHULIWA NA POLISI ANAYEIPELELEZA! YULE MBAKAJI AKAPANDISHWA MAHAKAMANI KWA KESI YA UKABAJI BADALA YA UBAKAJI PATAMU HAPO..CHA AJABU HATA MJUMBE WA NYUMBA KUMI KUMI NDO ALITOA KIBALI CHA DHAMANA. HIVI KWELI HII TANZANIA TUTAFIKA KWELI KWA UNYAMA HUU? NASIKIA MAMA WA WATU KAJIFUNGIA NDANI NA MWANAWE KAZI YAKE NI KULIA TU. WATU WALIPOJARIBU KURUDI KITUONI PALE MBEZI ASKARI WAKASEMA ETI WALIKOSEA BADALA YA KUANDIKA MBAKAJI WAKAANDIKA MKABAJI.

WALIPORUDI KUJA KUMKAMATA YULE MBAKAJI TAYARI ALIKUWA AMETOWEKA KUSIKOJULIKANA. KAKA WA MBAKAJI ALITOKA AKAENDA KWA MAMA WA MTOTO NA KUANZA KUMTISHA KAMA AKIFUATILIA ZAIDI HII KESI ATAMHUAMISHA MJINI. INASIKITISHA JAMANI HEBU MTUSAIDIE HATA KUISUKUMA HII MSG TAMWA HATA KWENYE VYOMBO VYA HABARI ILI HAWA POLISI WALIOCHUKUWA PESA WASHITAKIWE....NAOMBA MSINITAJE JINA MIMI NILIERIPOTI VITISHO VIMEKUWA VIKUBWA !

ASANTENI SANA

MLALAMIKAJI


Habari hii nimeipata kupitia SWAHILI TIME BLOG

2 comments:

Mzee wa Changamoto said...

Tunaelekea wapi waTanzania?
Watu wanatumia nguvu na akili zao kufanya yaliyo mema, lakini yaonekana kuwa tofauti kwa jamii yangu pendwa.
HII INASIKITISHA SAAANA

Yasinta Ngonyani said...

Hakika inahuzunisha kupita kiasi KWELI HUU NI UBINADAMU AMA NI NINI? Tanzania yetu yenye amani sasa inakuaje tena kwali mtu mzima na akili zake kumvamia mtoto wa miaka mitatu KWELI JAMANI???? hakila INASIKITISHA SANAAAAAA!!