Thursday, January 6, 2011

UNYAMA WA POLISI DHIDI YA RAIA =UADUI NA CHUKI

Chombo cha dola kikiwa kazini. Ambapo raia Zaidi ya 10 wameuawa
Mkutano nao wapigwa mabomu
Mabomu yakipigwa kwa raia waliokuwemo na wasiokuwemo
Gari likizuiwa lisishiriki kwenye maandamano


Viongozi wa chama cha demokrasia na maendeleo wakiwa wanatembea kwa miguu kuelekea katika mkutano wao Arusha


Mke wa Katibu mkuu wa Chadema Bi Josephine Slaa akiwa amejeruhiwa vibaya.

My Take:
Hivi mtu anawezwa kukatazwa kutembea hata kwa miguu?
Blogu hii inalaani unyama wa Polisi. Polisi imekuwa kama chombo cha kuua demokrasia imekuwa kama chombo kinachotumika na kundi fulani. Hii imani na utendaji wake kwa wananchi vinazidi kudorora.Wanaweza kurudisha maisha ya Watanzania zaidi ya 10 waliyoyapoteza?

No comments: