Thursday, January 13, 2011

HATIMAYE WALIOUAWA NA POLISI-ARUSHA WAMEAGWA JANA

Mwenyekiti wa CHADEMA -Taifa Mh Freeman Mbowe na mbunge wa Arusha Mh Lema wakiwa wamebeba mwili wa marehemu aliyeuawa na Polisi wakati wa Maandamano ya amani tarehe 5/1/2011
Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr Slaa akizungumza na viongozi wa dini wakati wa shughuli ya kuwaaga marehemu waliouawa na Polisi maeneo ya NMC Arusha
Msafara ukiwa umejipanga katika hospitali ya Mount Meru
Maandamano ya kuwasindikiza marehemu yakaanza bila msaada wa Polisi

No comments: