Friday, January 21, 2011

BABU KAJU AJA NA SHOO KABAMBE KUHUSU GLOBAL WARMINGYafuatayo ni maelezo ya Babu Kaju mwenyewe kuhusiana na show hiyoNITAKUA NA SHOW KUONYESHA DUNIA NZIMA JINSI MLIMA WA KILIMANJARO BARAFU INAKARIBIA KUISHA. SHOW ITAKUA ARUSHA TANZANIA KWENYE UWANJA WA MPIRA ARUSHA NA ITAONYESHA KWENYE MTANDAO NA ITAONYESHWA KWENYE MASHULE YOTE YA HAPA USA ILI WATOTO WAJIFUNZE HARARI YA GLOBAL WARMING KWA HIYO KAMA NI MTANZANIA UNAYE TAKA KUONA INGIA KWENYE WWW.BABUKAJU.COM KUJIANDIKISHA IL UWEZE KUONA . WANAMZIKI WATAKAO SHIRIKI AFANDE SELE/JUMA NUTURE/ SAIDA KALOLI NA BUSHOKE. SHOW HII TUNASHILIKIANA NA SERIKARI YA TANZANIA ITAKUA MARA YA KWANZA KUONYESHA MLIMA WA KILIMANJARO ILIVYO PATWA NA MATHARA YA GLOBAL WAMING. HAHA KAMA NIMEKOSEA KISWAHILI NI SHAHISHE KWA SABABU MIMI NI MHAYA THENKX MTAJULISWA TAREHE .ONE LOVE IS LAW

No comments: