Monday, December 13, 2010

ZADIO KONGOLO NA JB MPIANA

Kuna jamaa amekamua humu ndani kisawasawa naweza kumfananisha na jamaa aliyekamua kwenye FM ACADEMIA(TZ) Albamu ya dunia kigeugeu wimbo wa Acha Tamaa. Mcheki kwenye video ya kwanza ana sauti ya kukwaruza hivi

No comments: