Thursday, December 30, 2010

WAZUNGU WABAKA MWANAFUNZI WA SAUT-MTWARAWazungu wapatao wanne ambao ni waajiriwa wa kampuni ya utafiti wa uchimbaji mafuta inasemekana wamemwingilia binti mmoja wa chuo kwa zamu na kumsababishia matatizo yaliyompelekea kwenda kupatiwa tiba katika hospitali moja ya misheni iliyo mkoa wa Lindi. Kwa mujibu wa chanzo inaelezwa kwamba kumekuwa na Tabia ya Wanafunzi kwenda kustarehe katika ukumbi mmoja wa Bandari maarufu kama "Bokaboma" na ndipo mwanafunzi alipokutana na wazungu hao kwa tamaa ya fedha.

Mpaka sasa hakujakuwa na taarifa zilizo rasmi. Ikiwemo Mwanafunzi mwenyewe mhusika kuhofia usalama wake na kufukuzwa chuo. Lakini vitendo vya unyanyasaji vimekuwa vikiendelea na mamlaka zimekuwa zikifumbia macho.

HABARI HII NI YA UHAKIKA NA SIO UDAKU

1 comment:

faraji said...

good information, but we need to hear it in depth!!