Pichani ni John Tafu akikokoto ngoma langoni mwa vijana wa hospitali ya Ligula ambyo baadaye ilizaa goli. Jamaa tumetoka nao sare ya 5- 5 na kama sio watu kuishiwa pumzi tungewalamba mengi sana. Hongereni vijana wa BTS kazeni buti na tuanze mazoezi timu yetu ni nzuri .
IJUMAA SHOWBIZ!
2 days ago





0 comments:
Post a Comment