Friday, August 8, 2008

SHAGGY AWASILI DAR

Mwanamuziki nguli na nyota wa muziki wa hiphop na raga Shaggy aliwasili jana jijini Dar kwa ajili ya onyesho linaloandaliwa na kampuni ya simu za mkononi Zain. Onyesho hilo linasimamiwa na kuratibiwa na kampuni ya Prime Time Promotions ya Dar. Pichani akihojiwa na mtangazaji wa kituo cha redio ya Clouds bwana Hamis Mandi au B12.(Picha kwa hisani ya Mchuzi Jr.)
Posted by Picasa

0 comments: