Jana Balozi wa Marekani nchini Tanzania Mheshimiwa Mark Green aliwaongoza wafanyakazi pamoja na wahanga kuwakumbuka wale walioptoteza maisha yao wakati wa mlipuko wa mabobu katika ubalozi wa Marekani nchini Tanzania - Dar es salaam. Ni miaka kumi sasa tangu kutokee milipuko hiyo inayotokana na mtandao wa ugaidi.
0 comments:
Post a Comment